Bora umekuja. ππAbee
Ukitoka kwenye reli , utakua una ufujaji wa furaha labdaFuraha yangu ni Jana,hivyo hakuna Cha kunitoa kwenye reli kuhusu mechi ya janaπ
ππππBado mapema sana,inarudi hii.
Wapigwe tuKazi iendeleeeee
Eehπ,nilisema siji Hadi tufungeπ€£Bora umekuja. ππ
Ok. Nipo hapa.I'm serious
Msimamo ni mmo ni mmoja,,yanga Jana imepigwa 2π€£Ukitoka kwenye reli , utakua una ufujaji wa furaha labda
Hahahahaa. Na magoli yaendelee best.Kazi iendeleeeee
Hahahahaa. Na magoli yaendelee best.
π€£π€£ mara kibao kimegeuka. Teh.Eehπ,nilisema siji Hadi tufungeπ€£
Simba viungo viungo wengi katikati hawana urafiki na mali ikiwa mguuni...Ndio maana butua butua nyingi.Simba atakufa nyingi asipokaa makini. Kapombe leo anatetemeka sijui nini shida.
Nje ya mada: Hivi ni kwamba viongozi, makocha na wachezaji hawaoni tatizo la build up ya Simba, ni lazima wacheze viji back pass na kubutua mbele!? Mbona kila siku hii mbinu haifanyi kazi vizuri!
Nitarudi kwako baada ya FTFuraha yangu ni Jana,hivyo hakuna Cha kunitoa kwenye reli kuhusu mechi ya jana[emoji16]
Acha roho mbaya...Roho mbaya haijengi hata zizi la ng'ombe achilia mbali ghorofa.Kabisaa Best kipigo kitembee warudi tuchekane vizuri
Ameeeeeenaaaaaaaa rafikiiiiiiii ππ!Nakazia rafiki.
Wapppigggweeeee.