FT: Ethiopia 0 - 2 Tanzania | AFCON QUALIFICATION | Stade des Martyrs - DRC | 16-11-2024

Uko wapi mdau?
 
Kwanini Mechi iko DRC, Ethiopia kuna majanga?
 
Kwanini Mechi iko DRC, Ethiopia kuna majanga?
Mechi ya mwisho kwa Ethiopia itachezewa hapo Congo dhidi ya wakongoman kwahiyo wakaona isiwe tabu hata hii ya Leo ipigwe tu hapohapo Zaire
 
Tuna piga bomu mochwari. Ethiopia ni vibonde kama sisi tu
 
Mechi ya mwisho kwa Ethiopia itachezewa hapo Congo dhidi ya wakongoman kwahiyo wakaona isiwe tabu hata hii ya Leo ipigwe tu hapohapo Zaire
Naona wameona hawana Cha kupoteza, Bora wale posho tu. Ethiopia ndio Wana shirika la ndege Bora barani Afrika Linafika karibia kila sehemu, sioni sababu za wao kuwahi Kongo zaidi ya posho za safari.

But it is what it is! Bonge la advantage Kwetu Wabongo.
 
Haya sasa tupate kelele za mama anaupiga mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…