FT: Ethiopia 0 - 2 Tanzania | AFCON QUALIFICATION | Stade des Martyrs - DRC | 16-11-2024

Kipindi cha pili
 
SIIPENDI TAIFA STAR sipendi sbb ya matendo ya ukatili utekaji mauaji unyasaji wa siasa.sina amani na nch yangu.yote haya sbb ya manyang,au wasio na huruma
Kazi ipo.
 
Wamekosa goli la wazi kabisa bwana
 
Hata mechi yao vs congo game ya kwanza ilipigwa mkapa
 
Yanga badala ya Kumchukua Chama bora Wangemchukua Kibu..!

Toka aingie Anawapelekesha balaa Ethiopia kule mbele..
 
Refa Sasa anawaonea huruma Ethiopia..

Ukimgusa tu mchezaji wao ..pyeee
 
Wanatakiwa Wachezaji wa stars Wampelekee mpira Kibu....Kibu bado ana Energy ya Ziada..

Anawapelekesha mno...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…