FT: FAINALI | Simba SC 1-0 Azam FC | Kombe la Shirikisho la CRDB | dimba la Gombani, Pemba | Simba yatwaa ubingwa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
​

Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB ni Derby ya Mzizima

Simba SC dhidi ya AzamFC

Mtanange huu unapigwa Jumamosi hii, Julai 04 katika dimba la Gombani Pemba, Saa 11:00 Jioni.

Mechi 5 za mwisho kati ya Simba SC na Azam FC kwenye Ligi Kuu:

5 Aprili 2026: Azam FC 0–0 Simba SC
7 Desemba 2025: Simba SC 0–2 Azam FC
24 Februari 2025: Simba SC 2–2 Azam FC
26 Septemba 2024: Azam FC 0–2 Simba SC
9 Mei 2024: Azam FC 0–3 Simba SC

Safu ya Waamuzi

Mwamuzi wa Kati wa mchezo wa Fainali ya CRDB CUP ni Sifu Amon kutoka Mbeya, Msaidizi namba moja ni Hamdan Said wa Mtwara, Msaidizi namba mbili ni Zawadi Yusuph Kutoka Dar es Salaam na Mwamuzi wa akiba ni Ahmed Arajiga wa Manyara.

Kikosi cha Simba SC


​
Kikosi cha Azam FC

​

Kikosi cha Azam FC kimeingia uwanjani kikiwa kimesheheni idadi kubwa ya wachezaji wazawa kutoka Tanzania, jambo linaloonyesha imani kubwa kwa vipaji vya nyumbani katika mchezo huu muhimu dhidi ya Simba SC.

Wachezaji wazawa wanatawala kwa kuanza kuanzia golini na mlinda mlango Aishi Manula, akisaidiwa na safu imara ya ulinzi na viungo inayoundwa na Lusajo Lawi, Himid Mkami, Pascal Msindo, nahodha Lameck Mwaikenda, Iddy Nado, Feisal Salum, pamoja na washambuliaji Abdul Suleiman 'Sopu' na Yahya Zayd.

​
Nani kuwa Bingwa leo?
 
Azam msiniangushe japo kombe lilikuwa letu,tukawaachia.
 
Simba nguvu mojaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Hii game sioni Simba SC kuishinda Azam hata Kwa matuta. Hawana mipango madhubuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…