Jamaldini pie
Senior Member
- Apr 13, 2017
- 162
- 120
Sio leo toka zamani
Simba SC Bingwa CRDB FEDERATION CUP 2026FT
Simba 1-0 Azam.
Unasemaje hapo?
Tunajua kuchangamsha watuHivi mbona SIMBA akiwa champion
.. NCHI huwa inachangamka..
Bigwa za Uto huwa za kitapeli, ila huu ni wa kweliHivi mbona SIMBA akiwa champion
.. NCHI huwa inachangamka..
😂😂😂View attachment 3622530
Ila Mod wa Simba ana mambo ya kihuni 😀😀
Hivyo anamaanisha nini hapo?View attachment 3622530
Ila Mod wa Simba ana mambo ya kihuni 😀😀
Mliungana na Azam kutaka kutuangamizaHivyo anamaanisha nini hapo?
👊Simba SC Bingwa CRDB FEDERATION CUP 2026
Kama yule aliye simama kama refarii wa akiba.Marefa wa kitanzania wanaingia uwanjani kuchezesha mechi wakiwa na matokeo yao tayari ndio maana huwezi kuwaona wakichezesha mpira nje ya Tanzania. Bure kabisa.
Watajijua wenyewe