Mgosi umepiga maji au! Mbona matokeo bado yanasoma 0-0!Gooo....🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mipango ya nje ya uwanja au mipango gani iliyokosekana kwa Simba?Hii game sioni Simba SC kuishinda Azam hata Kwa matuta. Hawana mipango madhubuti.
Asante niko mbali kidogo leo.Mtani half time 0 - 0
Nani katupia?Gooo....🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nililiona goli kabla halijaingia mgosiMgosi umepiga maji au! Mbona matokeo bado yanasoma 0-0!
SimbaNani katupia?
Mnyama kama kawaEndeleeni kutupatia updates
pamoja shabiki mwenzangu Mshana JrMnyama kama kawa
Ndiyo yule yule mliyekuwa mnamkataa hapo kabla kuchezesha mechi zenu.Huyu refa katoka nje? Maana kanyooka sana. Fei Toto kala umeme, baada kurusha kofi kwa Libasse
Uwanjani maana ndiyo iliyo wazi.Mipango ya nje ya uwanja au mipango gani iliyokosekana kwa Simba?
FTUwanjani maana ndiyo iliyo wazi.