DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Klabu ya Yanga inashuka Dimbani katika mchezo wake wa tano wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Far Rabat ya Morocco majira ya saa 4:00 Usiku kwenye uwanja wa Stade Olympique de Rabat (Rabat).
Yanga na Far Rabat zote zina nafasi ya kusonga hatua ya Robo Fainali ya michuano hiyo, na atakayeshinda atakuwa na nafasi kubwa na nzuri ya kufuzu hatua inayofuata.
Yanga na Far Rabat zote zina nafasi ya kusonga hatua ya Robo Fainali ya michuano hiyo, na atakayeshinda atakuwa na nafasi kubwa na nzuri ya kufuzu hatua inayofuata.