Hii point Kubwa sanaHizi timu zote zikifungwa na kutolewa kwenye mashindano itapendeza sana ni moja kati ya ngao ya CCM.
Hata yale mauaji vibaka wa policcm walikua na majezi ya hizi timu mbili za Kariakoo wakipiga watu risasi mitaani.
Na hizi timu hazikutoa hata pole kwa matukio yale maana ni matawi ya CCM katika michezo.
Naam, watanzania wamenifurahisha walivyodeal na wasaniiccm na machawa baada ya Mo29 sasa hizi timu mbili za Kariakoo ndio turufu ya mwisho kwa CCM katika matawi yake ya kuhadaa watu kufuatilia masuala ya msingi katika nchi, inatakiwa zianze kupuuzwa na ndio watanzia watatoka usingizini.Hii point Kubwa sana
Hakuna cha kuwapunguzia maneno hao wachawi. Safari yao nao imefika mwisho.Duuuh! Sheikh punguza ukali wa maneno
Anaendaje Cairo itakuwa drooNimeambiwa yanga bado anaenda mtoano
Hvi na nyie bado mnafatilia haya mashindano badala ya kumfuatilia Mangungu na boss wenu Moooo😀😀😀1-0 FT
Ingependeza sana kama ingeisha 2-0
Kwa hiyo possibility ni ndogoAnaendaje Cairo itakuwa droo
Sema ile header ya dk 94' iligoma. Otherwise ubao ungesoma hivyo.1-0 FT
Ingependeza sana kama ingeisha 2-0
Yanga anafuzu kama akishinda mchezo wake wa mwisho kwa tofauti ya goli 2 na ASFAR afungwe kwa tofauti ya goli 2Nimeambiwa yanga bado anaenda mtoano
Atoke kumamoyo zaoo wote na simbaKwa hiyo possibility ni ndogo
Tunawafuatilia nyie Makundi FC. Maana hamstahili kuitwa Mwakarobo. Topolo wakubwa nyie!Hvi na nyie bado mnafatilia haya mashindano badala ya kumfuatilia Mangungu na boss wenu Moooo😀😀😀