FT: Far Rabat 1-0 Yanga SC | CAF Champions League | Olympique de Rabat | Februari 7, 2026

Kwa matokeo haya Yanga wameshaumaliza mwendo kama ilivyokuwa kwa mwenzie Simba. Yanga wanatakiwa wamfunge magoli zaidi ya 4 kwenye mechi ya mwisho na hapo hapo amuombe Al Ahly amtandike Far Rabat wakati huo Al Ahly watakuwa wanacheza kwa ku relax kwasababu kaishafuzu point 1 inamtosha Al Ahly kuongoza group. Timu za Tanzania zijipange msimu ujao
 
Hii ndiyo raha
 
Uto hana chake waarabu watapanga matokeo watatoa sare
 
Vyura wa kihansiiii siwasikiiii, au hapo dimbwini mtaa wa Twiga, kuna mafuriko wamezamia chiniiiiii???????
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umejaa roho ya kichawi tupu. Sasa YANGA ikitoka Simba itafadi nini zaidi ya kudorora zaidi na zaidi. Na mwaka huu makombe yote mtaendelea kuyaona kwenye TV tu labda mtapata kombe la mataputapu
😜😜
 
Vyura wa kihansiiii siwasikiiii, au hapo dimbwini mtaa wa Twiga, kuna mafuriko wamezamia chiniiiiii???????
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Vyura wa kihansiiii siwasikiiii, au hapo dimbwini mtaa wa Twiga, kuna mafuriko wamezamia chiniiiiii???????
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wako busy kuulizia bei za calculators. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Kwa matokeo haya Yanga wameshaumaliza mwendo kama ilivyokuwa kwa mwenzie Simba. Yanga wanatakiwa wamfunge magoli zaidi ya 4 kwenye mechi ya mwisho na hapo hapo amuombe Al Ahly amtandike Far Rabat wakati huo Al Ahly watakuwa wanacheza kwa ku relax kwasababu kaishafuzu point 1 inamtosha Al Ahly kuongoza group. Timu za Tanzania zijipange msimu ujao
Hapana kwakweli
Mwakani tusipeleke timu tujue moja! Haiwezekani miaka yote hamna timu imevuka robo! Hapo hapo Yanga na ubora wake inaoimbwa makundi ina struggle! Tunaidhalilisha tu ligi tutulie nyumbani mpaka 2027 - 2028
 
Back
Top Bottom