cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Kwa kweli, πππππKelele zipungue
Kwa kweli, πππππKelele zipungue
πππππππNilikuwa naangalia timu inayojidai inaweza kuchukua ubingwa afrika nilichoona ni parking bus fc
πππππππWako busy kuulizia bei za calculators. πππ€£
πππππππππππ28000 zinapotea kuangalia watu wamepaki ma SGR ujinga mtupu! Watu wanacheza low block 90min!! Mpaka Pacome kwa defender! Hata wakisema wafanye counter mbele kuna Mtu mmoja tu akitoa cros hamna mtu! Wachezaji wanapress - wa dk 90 hata angekua nani hawezi kupata utulivu wa kupass pass zenye macho lazima uvurugwe! Niliacha kuangalia dk ya 60 tu nikaona upuuzi! Watu wanacheza langoni kwenu saa zote utafikiri mmepaki Sgr labda Dodoma Jiji inacheza na Al Ahly
ππππππKuna watu walianzisha uzi wa mechi ya Simba wakawa wanatoa comment za kipuuzi sasa hivi wote wamerudi kwenye madimbwi
Mmelambwaaaaaaa!!! ππππππThread ya wagawa utamu ipo wapi
Hali mbaya Bro πPole sana
Leo hukula mkeka?π
Papai korofi"Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!"
Kwa sautii ya Takadini, πππππππ
Kocha muoga, anapaki basi mapema sana.28000 zinapotea kuangalia watu wamepaki ma SGR ujinga mtupu! Watu wanacheza low block 90min!! Mpaka Pacome kwa defender! Hata wakisema wafanye counter mbele kuna Mtu mmoja tu akitoa cros hamna mtu! Wachezaji wanapress - wa dk 90 hata angekua nani hawezi kupata utulivu wa kupass pass zenye macho lazima uvurugwe! Niliacha kuangalia dk ya 60 tu nikaona upuuzi! Watu wanacheza langoni kwenu saa zote utafikiri mmepaki Sgr labda Dodoma Jiji inacheza na Al Ahly
Poleeee wee, ππππππPapai korofi
Leo hii hii?? Khaaaah πππππIla huyu Kocha atupishe kmmmkkk
Kocha jauLeo hii hii?? Khaaaah πππππ
ππππππUnamuacha Edmund John unaenda na okelo? Mchezaji ambae goigoi alazimishi matukio ukikagusa kameanguka π