FT: Far Rabat 1-0 Yanga SC | CAF Champions League | Olympique de Rabat | Februari 7, 2026

FT: Far Rabat 1-0 Yanga SC | CAF Champions League | Olympique de Rabat | Februari 7, 2026

Naomba serikali iingilie kati huu udhalilishaji
 

Attachments

  • FB_IMG_1770519629104.jpg
    FB_IMG_1770519629104.jpg
    94.2 KB · Views: 19
28000 zinapotea kuangalia watu wamepaki ma SGR ujinga mtupu! Watu wanacheza low block 90min!! Mpaka Pacome kwa defender! Hata wakisema wafanye counter mbele kuna Mtu mmoja tu akitoa cros hamna mtu! Wachezaji wanapress - wa dk 90 hata angekua nani hawezi kupata utulivu wa kupass pass zenye macho lazima uvurugwe! Niliacha kuangalia dk ya 60 tu nikaona upuuzi! Watu wanacheza langoni kwenu saa zote utafikiri mmepaki Sgr labda Dodoma Jiji inacheza na Al Ahly
Wapumbavu sana bora watoke tu, pamoja na watu kumlalamikia kocha kupaki bus ila mimi naona wachezaji ndiyo walimuangusha kocha kwa makosa binafsi.
Unataka kufika mbali halafu wachezaji wenyewe nafasi za dhahabu anashindwa kuzitendea haki. Dube kapoteza nafasi nyingi za dhahabu vs Al Ahly, Vs Far Rabat
Maxi kapoteza nafasi ya wazi vs Al Ahly, klabu bingwa ukipata nafasi moja itumie ipasavyo
 
Unamuacha Edmund John unaenda na okelo? Mchezaji ambae goigoi alazimishi matukio ukikagusa kameanguka 😁
Shida sio Okello kocha kazingua muda wote timu ipo nyuma dakika 90 huwezi kukaba mwisho wa siku lazima utafanya makosa
 
Kocha muoga, anapaki basi mapema sana.
Hapo kocha amezingua sana! Yani wachezaji wote walikua na morali ya juu labda Okello hakua na mechi nzuri! Ila mbinu ya mwalimu imemfelisha pakubwa! Sio lazima afunguke sana ila kupaki Semi kwenye mechi ya maamuzi haikua mbinu bora! Angecheza Low block kipindi cha kwanza cha pili angepandisha mashambulizi viungo wa kutosha mana Defence ilikua sawa kuna namna angewakata tu pale kati sasa ilikua hata Foward akipewa ndefu tayari ana defender wa3 wako mwilini ... atafanya nn
Huyo Pacome akichekesha tayari kwanzia viungo wao wa kati mpk Ddefenders washamvaa akiwatoka akipiga mbele hamna mtu! Jamani nmekwazika basi tu! Pedro sio mbaya sana ila kuwa kocha ni kuchagua mbinu pia
 
Hilo ni tatizo la jumla ambalo linatutafuna sana Yanga! Hatuna watu wakatili
Ilq kwa jana mbinu mbinu jamani mbinu! Sema hela ya kutafuta hao Wakatili nayo hatuna tunabaki tu Manungu Turiani tukagombanie goli Ligi yetu inadhalilika vibaya sana tunaonekana kelele nyingi hamna kitu
Wapumbavu sana bora watoke tu, pamoja na watu kumlalamikia kocha kupaki bus ila mimi naona wachezaji ndiyo walimuangusha kocha kwa makosa binafsi.
Unataka kufika mbali halafu wachezaji wenyewe nafasi za dhahabu anashindwa kuzitendea haki. Dube kapoteza nafasi nyingi za dhahabu vs Al Ahly, Vs Far Rabat
Maxi kapoteza nafasi ya wazi vs Al Ahly, klabu bingwa ukipata nafasi moja itumie ipasavyo
 
Hilo ni tatizo la jumla ambalo linatutafuna sana Yanga! Hatuna watu wakatili
Ilq kwa jana mbinu mbinu jamani mbinu! Sema hela ya kutafuta hao Wakatili nayo hatuna tunabaki tu Manungu Turiani tukagombanie goli Ligi yetu inadhalilika vibaya sana tunaonekana kelele nyingi hamna kitu
Ila mimi naona mbinu haikuwa mbaya hasa unapocheza away, hata Al Ahly pamoja na ubora wake wote ila away anakuacha ucheze mpira kisha yeye anacheza na moments tu. Binafsi natofautiana na wengi ambao wanamlaumu kocha, kocha alikuwa sahihi kimbinu ila kilichomuangusha ni wachezaji wakuweza kutelekeleza mpango kazi wake wamefeli. Jana wachezaji wakipata mipira wanakosa utulivu na umakini na uharaka wa kufanya counter attack mwisho mipira inapotea kirahisi. Mechi dhidi ya Al Ahly kule Misri Yanga ndio timu iliyotengeneza nafasi nyingi zaidi kwenye kipindi cha kwanza na wamepiga on target nyingi huku Al Ahly hawakupata nafasi ya kupiga hata on target moja lakini mwisho wa siku wanapata on target moja na goli wakati sisi tumepoteza minafasi kibao, goli lenyewe ni la kizembe kabisa kwenye ukabaji

Kocha anafanya mabadiliko ili asawazishe, Mudathir anachomesha, Maxi na Dube wanapoteza nafasi ya dhahabu kuipatia goli. Mechi ya marudiano ni makosa ya Boka na makosa ya wachezaji kushindwa kupata goli goli la ushindi. Maxi anapiga free header anashindwa kulenga goli, jana Dube nafasi kama zile anashindwa kufunga unategemea uingie robo kwa wachezaji wa namna hiyo wanaoshindwa kutumia nafasi?

Kocha angethubitu kufunguka ni kweli angepata goli ila Yanga ingeoga magoli ya kutosha kwenye counter attacks.
 
Ila mimi naona mbinu haikuwa mbaya hasa unapocheza away, hata Al Ahly pamoja na ubora wake wote ila away anakuacha ucheze mpira kisha yeye anacheza na moments tu.
Sasa hapa ndipo tatizo lipo ndo mana nikasema kocha kazingua.. standard ya wachezaji kwa kucheza na moments hatuna mana zile nafasi zinazotengenezwa wangekuwepo watu wenye Individual brilliance kama Kina Pacome wawili watatu tungefanya kitu! Hela ya kuwamiliki hatuna kwahio mbinu ziendane na hao wenye uwezo wa kati kocha ajue anamiliki watu gani apange mbinu gani! Hata gamond hakupaki basi namna hii afcon na yote ni kwakua alikua anawajua wachezaji wake 50% kashawahi fanya nao kazi. Mimi ni muumini wa kushambulia kwa kasi ama paki basi kitaalamu afu achia Counter Attack sio muumini wa ball possesion ila kocha jana kazingua 90%
Binafsi natofautiana na wengi ambao wanamlaumu kocha, kocha alikuwa sahihi kimbinu ila kilichomuangusha ni wachezaji wakuweza kutelekeleza mpango kazi wake wamefeli.
Narejea tena wachezaji hao hatuna. Mimi ni muumini wa kushambulia kwa kasi ama paki basi kitaalamu afu achia Counter Attack sio muumini wa ball possesion ila kocha jana kazingua 90% aliendeshwa na woga 100%
Jana wachezaji wakipata mipira wanakosa utulivu na umakini na uharaka wa kufanya counter attack mwisho mipira inapotea kirahisi.
sasa imagine unacheza na watu aggresive watu ambao wameshakusoma ww mwoga wanakushambulia watakavyo wakijua kabisa watapata Goli na ww unacheza kwa woga? Utulivu wakupasiana unautoa wapi? Mtu ilikua kama piga nikupige watu walikua wana clear mpaka na vichwa hujakaa vizuri wachezaji watatu wako mguuni... mpira wa kasi wa ASFAR RABAT uliwanyima utulivu ndo hapo tunaposema kocha kazingua! Rejea mechi ya al hilal na Mc Alger Al hilal walipigwa mpira wa kasi kipindi cha kwanza tu wakapasuka 2 za fasta fasta! Tena Mc alikua bora mara 10 ya ASFAR wa jana ambao kama kocha angebadili mbinu tulikua tunawamudu safi kbisa!
Mechi dhidi ya Al Ahly kule Misri Yanga ndio timu iliyotengeneza nafasi nyingi zaidi kwenye kipindi cha kwanza na wamepiga on target nyingi huku Al Ahly hawakupata nafasi ya kupiga hata on target moja lakini mwisho wa siku wanapata on target moja na goli wakati sisi tumepoteza minafasi kibao, goli lenyewe ni la kizembe kabisa kwenye ukabaji

Kocha anafanya mabadiliko ili asawazishe, Mudathir anachomesha, Maxi na Dube wanapoteza nafasi ya dhahabu kuipatia goli. Mechi ya marudiano ni makosa ya Boka na makosa ya wachezaji kushindwa kupata goli goli la ushindi. Maxi anapiga free header anashindwa kulenga goli, jana Dube nafasi kama zile anashindwa kufunga unategemea uingie robo kwa wachezaji wa namna hiyo wanaoshindwa kutumia nafasi?

Kocha angethubitu kufunguka ni kweli angepata goli ila Yanga ingeoga magoli ya kutosha kwenye counter attacks.
BAhati mbaya ya Al ahly sikuiona! Kocha angefunguka akashambulia wangekosa utulivu pia tungepata Goli! Jana Simba walibaki 9 ila kuna kitu wakifanya hawakukaa nyuma pamoja na kushambuliwa!
Yani sikufixhi nmepata hasira jana tumepoteza nafasi ya dhahabu kabisa
Kwa hali hii Gamond atabaki kuwa kocha bora zaidi kuifundisha Yanga.
 
Gamond alifukuzwa yanga kwa mihemuko, alikuwa ni kocha sahihi na alistahili kubaki!!
 
Hapo kocha amezingua sana! Yani wachezaji wote walikua na morali ya juu labda Okello hakua na mechi nzuri! Ila mbinu ya mwalimu imemfelisha pakubwa! Sio lazima afunguke sana ila kupaki Semi kwenye mechi ya maamuzi haikua mbinu bora! Angecheza Low block kipindi cha kwanza cha pili angepandisha mashambulizi viungo wa kutosha mana Defence ilikua sawa kuna namna angewakata tu pale kati sasa ilikua hata Foward akipewa ndefu tayari ana defender wa3 wako mwilini ... atafanya nn
Huyo Pacome akichekesha tayari kwanzia viungo wao wa kati mpk Ddefenders washamvaa akiwatoka akipiga mbele hamna mtu! Jamani nmekwazika basi tu! Pedro sio mbaya sana ila kuwa kocha ni kuchagua mbinu pia
Kocha mizenguo sana unapoamua kupaki basi Okelo si wakumuanzisha, Weka watu wa kupress kama kina Mudathiri

Changamoto nyingine kocha hana uzoefu wa hii michuano, nlimaliza kumpima uzoefu wake kwenye ile comment ya kulalamika kukosekana kwa mashabiki uarabun
 
Utopolo wanajidanganya wana timu kubwa afrika ya kuweza kuchukua ubingwa kumbe ni katimu kadogo kanakobebwa na marefa na ujanja ujanja wa wanasiasa na uongozi wao
 
Back
Top Bottom