NoreformNoelection
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 1,390
- 1,446
Nyie endeleeni/ridhikeni na hizo sare sare zenu ila sisi tunavimba kutimba robo fainali kibabe.
Nyie endeleeni/ridhikeni na hizo sare sare zenu ila sisi tunavimba kutimba robo fainali kibabe.
Bora ukae kimya wewe timu yako sio NBC sio CL kote pagumu hao Mtibwa unakumbuka mara ya mwisho walikufanya niniWametoka kuifunga mashujaa 6-0 wakaenda kufungwa 2-0 na Al Ahly. Wameshagawa utamu tena kwa Far rabat sasa angalia siku wakija kucheza Mtibwa. Yanga 6-Mtibwa 1
Hii ndiyo timu wanayoisifia wanayanga? huyo mashujaa alijifunza nini?
Jiongeze.Kumbe Babati kuna mahali panaitwa Rabati
Jina lako linaakisi uwezo wako wa kufikiriJiongeze.
Huku Japan ni jina la kawaida tu. Uwezo wako kufikiri ni mdogo sana. Yanga haiwezi kuifunga Rabat labda Rabat ya Babati.Jina lako linaakisi uwezo wako wa kufikiri
Sawa sawa geniousHuku Japan ni jina la kawaida tu. Uwezo wako kufikiri ni mdogo sana. Yanga haiwezi kuzifunga Rabat labda Rabat ya Babati.
Nashsukuru sana hamna jambo linaniudhi kama pass fupi fupiMbinu ya kizamani sana. Chezea mpira na shambulia kama ukifungwa basi utakuwa umezidiwa uwezo na mbinu. Huu ujinga wa kulinda goli sifuri ni ujinga tupu. Huyu kocha sioni future yake ndani ya YANGA hana mbinu za kisasa. Hata uchezaji sasa hivi imekuwa wa vipasi vifupi vifupi ambavyo vinapoteza tu muda.

Miujiza ipo na tushawahi kuifanya kwa 4 -0Amenisikitisha sana, mimi nilishajiandaa kisaikolojia yanga kufungwa lakini sio kwa mpira ule. Nilijua tutaenda kupishana nao uwanjani.
Sasa tuombee al ahly ashinde tu, yule mwarabu mwingine inabidi tumpige kama ngoma maana hatuna cha kupoteza

Ile ya 4-0 ilikuwa ni vita ya wenyewe kwa wenyewe ila hii ya sasa inahitaji msaada kwa Al Ahly.Miujiza ipo na tushawahi kuifanya kwa 4 -0
Tusubiri tu ila mbinu sikuipenda kabisaa tulicheza kama Underdog
Al ahly ashinde tu sisi kama Goal differnce tutamgalagaza kablye goli5 au unasemaje😅Ile ya 4-0 ilikuwa ni vita ya wenyewe kwa wenyewe ila hii ya sasa inahitaji msaada kwa Al Ahly.
Wala Yanga haitaji goli zote hizo ili kufuzu, anatakiwa kushinda tu goli 2:0 kisha kuomba Al Ahly ashinde tu hata goli 1 inatosha kumfanya Yanga afuzu.Al ahly ashinde tu sisi kama Goal differnce tutamgalagaza kablye goli5 au unasemaje[emoji28]
Ndo mana nmeweka 5 just in caseWala Yanga haitaji goli zote hizo ili kufuzu, anatakiwa kushinda tu goli 2:0 kisha kuomba Al Ahly ashinde tu hata goli 1 inatosha kumfanya Yanga afuzu.
Hapo watalingana H2H na pia watalingana goal difference ila Yanga atafuzu kwavile atakuwa kafunga magoli mengi. Hesabu ni ngumu kwasababu kufuzu kwa Yanga inamtegemea Al Ahly ashinde pasipo AS FAR kupata goli.