NoreformNoelection
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 1,390
- 1,446
Hii sera ya kuvuna usipopanda ( kununua magoli) kwa nia ya kuendeleza mpira wa miguu ndiyo inaua mpira wa Tanzania.Kwa matokeo haya Yanga wameshaumaliza mwendo kama ilivyokuwa kwa mwenzie Simba. Yanga wanatakiwa wamfunge magoli zaidi ya 4 kwenye mechi ya mwisho na hapo hapo amuombe Al Ahly amtandike Far Rabat wakati huo Al Ahly watakuwa wanacheza kwa ku relax kwasababu kaishafuzu point 1 inamtosha Al Ahly kuongoza group. Timu za Tanzania zijipange msimu ujao