FT: Far Rabat 1-0 Yanga SC | CAF Champions League | Olympique de Rabat | Februari 7, 2026

FT: Far Rabat 1-0 Yanga SC | CAF Champions League | Olympique de Rabat | Februari 7, 2026

Okelo hii mechi anapoteza sana mipira na pia swala la kukaba ni tatizo kocha ana watu wapo nje haoni mpaka Yanga wafungwe ndio utamuona anafanya sub ile mechi ya Al Ahly Boka alichoka balaa kaja kufanya sub baada ya kutoa boko la goli..
 
Hapa!
Ni overall assessment ya mechi zote.
Kama Yanga wanataka kufika mbali kwenye hii michuano ni lazima wapate kocha mwenye ubora wa juu ya huyu.
Gamondi ni zaidi ya huyu mara 2,000.
Kwani Gamondi alishinda mechi ngapi away akiwa na Yanga vs timu za daraja bora kiubora? Alifungwa 3 bila vs Belouzdad, kafungwa vs Al Ahly kisha katoa sare vs Medeama. Huyu kocha ana nusu msimu lakini mnamuona mbaya kwenye matokeo yaliyosababishwa na blunder za wachezaji wenyewe ila kimbinu na kiufundi katika game approach akiwa sahihi.

Vs Al Ahly ni kosa la Mwenda na Mudathir katika game ya kwanza
Game ya pili ni kosa la Boka na Maxi kukosa goli la wazi kabisa katika free header kuipa Yanga goli la pili.

Approach za away zinajulikans, Gamondi alifanya anajua kuutawala mchezo away akala chuma tatu, game vs Mamelodi mwenyewe kabadilika na kuamua kucheza kwa kuvizia
 
Dakika 60'

AS FAR RABAT 0 - 0 Young Africans

Bacca kadi ya njano
 
Dakika 64'
Kona fupi kwa AS FAR lakini mpira unakuwa mwingi Yanga inasalimika

AS FAR RABAT 0 - 0 Young Africans
 
Dakika 66'

Counter attack ya Yanga yazuiwa kwa mu Angola wa Yanga , Depu kufanyiwa rafu

AS FAR RABAT 0 - 0 Young Africans
 
Dakika 76'
As FAR kona, kwa mara nyingine Yanga anasalimika pressure kubwa ya waarabu

AS FAR RABAT 0 - 0 Young Africans
 
GOAAALLLL

Dakika 85'

AS FAR RABAT 1 - 0 Young Africans

Baada ya pressure ya waarabu wa Morocco hatimaye wapata goli
 
Kocha anapaki basi unategemea nini?

1770497239672.png
 
Back
Top Bottom