Yanga, pamoja na gsm kuweka mezani 1bn, anakufa nyingi.Klabu ya Yanga inashuka Dimbani katika mchezo wake wa tano wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Far Rabat ya Morocco majira ya saa 4:00 Usiku kwenye uwanja wa Stade Olympique de Rabat (Rabat).
Yanga na Far Rabat zote zina nafasi ya kusonga hatua ya Robo Fainali ya michuano hiyo, na atakayeshinda atakuwa na nafasi kubwa na nzuri ya kufuzu hatua inayofuata.
True.Yanga, pamoja na gsm kuweka mezani 1bn, anakufa nyingi.
Sababu: kocha kimeo
Ukiangalia wachezaji mbona utaona formation ya Yanga.Toka huyu kocha aje kufundisha YANGA kwa kweli sijajua YANGA wanacheza style gani. Wacheza wenye uwezo mkubwa lakini hawaeleweki wanacheza formation ipi. Huyu kocha huyu Nina mashaka na ubora wake
Kumbe usiposhinda away, kocha ni kimeoTrue.
Kocha wa Yanga ni kimeo. Mechi away zote hajawahi kushinda zaidi ya goli moja na ndio maana alipigwa na Al Ahly.
Hapa!Kumbe usiposhinda away, kocha ni kimeo