FT: Fiston Mayele anawainua Wacongo hapa, Gabon 0 DRC 2

Punguza makasiriko, wenzako tuna angalia boli huku tunashushia na whisky, wahi ukale kesho baniani anakungoja akusurubu, usitufuatishe wenye government bond.
Mbona siku zote tumekuwa tukiwasema humu kuwa mashabiki wa Yanga ni walevi

Sasa kama hapo umelewa hujui kuwa ni goli la uongozi we unakuja kusema wamesawazisha

Halafu stimu ya namna hii sio ya whisky, ni gongo labda kama umeinywea kwa chupa ya whisky
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…