FT: Fiston Mayele anawainua Wacongo hapa, Gabon 0 DRC 2

FT: Fiston Mayele anawainua Wacongo hapa, Gabon 0 DRC 2

Shida ukishakuwa utopolo hata akili za kuombea maji unakosa. Jibu swali kuna ubaya gani inonga akitetema na mayele?
Hakuna ubaya wowote, ila nimestaajabu style wameikariri vizuri sana, hakika style ya Mayele ni very unique.

Hili ukubali usikubali lakini ndani ya nafsi yako unalitambuwa hili.
 
Ni biashara ya soccer, kawaida tu ili mradi club inufaike.

Kuna watu wamemuharibia sana Fei Toto, mpaka sasa thamani yake ingekuwa juu na timu ya Taifa angeendelea kung'ara.

Ona wachezaji wote Yanga waliofika fainali thamani zao zimepanda na hata National team zao wanachukuwa namba.
fei ni kukosa busara tu
 
Hakuna ubaya wowote, ila nimestaajabu style wameikariri vizuri sana, hakika style ya Mayele ni very unique.

Hili ukubali usikubali lakini ndani ya nafsi yako unalitambuwa hili.
Basi hayo ni matatizo yako binafsi. So ulitegemea inonga hata shangilia sababu mayele anachezea yanga?
 
Back
Top Bottom