cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Labda itakua.Inonga ndiyo itakuwa kampigia chapuo huyo Mayele kwa kocha ampe nafasi, bila hivyo mbao ndefu ingekuwa inamuhusu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda itakua.Inonga ndiyo itakuwa kampigia chapuo huyo Mayele kwa kocha ampe nafasi, bila hivyo mbao ndefu ingekuwa inamuhusu.
FactMaana kama alikuwa anajua Congo anaongoza halafu akaambiwa Mayele kafunga, inakuwaje adhani goli la Mayele ni la kusawazisha 🤣😂🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inongaa katetema kuliko wenginee wotee, na anajua kuliko hata mayelee mwenyewe.
Unaona ajabu Inonga kutetema? Wote hao ni wakongo hawana ushabiki wa Simba na Yanga
Itakuwa amemwambia kocha kuwa mpatie nafasi mwamba anatutesa beki wote kule nbc pl hadi kule caf cc mabeki wote hawakutamani awaache.Inonga ndiyo itakuwa kampigia chapuo huyo Mayele kwa kocha ampe nafasi, bila hivyo mbao ndefu ingekuwa inamuhusu.
Ni mchezaji wa timu gani tena?Mayele sio mchezaji wa Yanga tena
Agiza soda hapo ulipo.Ila uongo dhambii, inonga katetema bhanaa, kushinda wenginee wotee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacongo wanatetema tyuuh huko, kiukweli bao ni zuri na la kiufundi, nimependa alivyochezesha miguu kumuhadaa beki wa Gabon, akafumua shutii kitu ndanii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mayelee km mayeleeee.
Tusisahau Aziz Ki pia kaanza leo na BF kagongwa 3-1Tusisahau DIARA Leo alikuwa kipa no.1 na yeye katoka na clean sheet ya 0:2 ugenini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tayari mkuu.Agiza soda hapo ulipo.
Usimsahau aucho nae kala chuma mbiliTusisahau Aziz Ki pia kaanza leo na BF kagongwa 3-1
Yule Alisha jizeekea hata hiyo namba kapangwa kwa ajili ya jina la Yangs. Kumbuka kwa Sasa Yanga Ina umaarufu wa kipekee barani Afrika na wachezaji wake WALIITWA timu za Taifa hakuna zile zaraunza kuwaweka benchi tena. Ni masuper stars sasaTusisahau Aziz Ki pia kaanza leo na BF kagongwa 3-1
Wao wamefuzu ,wahangaike nini?Tusisahau Aziz Ki pia kaanza leo na BF kagongwa 3-1
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamshinda hata mwenye style yake.
Sema jamaa Inonga anapenda kutetema sana hayupo sehemu sahihi tu Yanga panamfaa
Akikujibu unitag.😀😀Ni mchezaji wa timu gani tena?
jamaa ni hatari sana,yanga washakubali ni bora aende tuSasa takwimu za Mayele zinahamia National team, anaifungia Congo goli la pili, goli kama hili linapatika Uefa tu na world Cup.
Game is on.