FT: Fiston Mayele anawainua Wacongo hapa, Gabon 0 DRC 2

Bado WANAAMINI ATAENDELEA kuwa yanga msimu ujao.

Akili ZETU mashabiki WA Yanga ni vituko.
 
Punguza makasiriko, wenzako tuna angalia boli huku tunashushia na whisky, wahi ukale kesho baniani anakungoja akusurubu, usitufuatishe wenye government bond.
🤣😂🤣😂🤣 sawa afsa ugavi. Kwa hiyo uwanja mzima uliojaa wagabon umetetema leo.

Mayele akirudi anarudi na barua ya kuvunja mkataba.
 
Government bond Mimi ni investor siyo Mtumishi wa serikali.

Hakuna Mtumishi mwenye jeuri ya kuinvest government bond.
 
Huyu kaona livescore kama mimi au pengine kwenye magrupu ya Uto wamempa taarifa.

Na Gongowazi wanavyopenda sherehe usikute kesho wakafanya Parade kwa ajili ya hii kitu
Kweli kahadithiwa, tena kahadithiwa na watu wanaodhani Mayele anachezea Gabon. Usikute uto hawajui hata mungu wao anatokea nchi gani.
 
Sasa huu ni muda wangu wa kula good time nitarudi hapa kesho kuona wangapi wanateseka na Mayele?

Eti huyu ndio umfananishe na Saidoo, tuache masihara apewe heshima yake.
 
Attachments

  • FB_IMG_1685865513846.jpg
    FB_IMG_1685865513846.jpg
    84.1 KB · Views: 1
Government bond Mimi ni invester siyo Mtumishi wa serikali.

Hakuna Mtumishi mwenye jeuri ya kuinvest government bond.
Afu ni investor sio invester

Sema kwasababu ulishatanguliza kutuambia kuwa upo kupiga miwa wala hatupati shida na wewe
 
Government bond Mimi ni invester siyo Mtumishi wa serikali.

Hakuna Mtumishi mwenye jeuri ya kuinvest government bond.
Umetisha sana ila hilo somo ulilosomea hiyo government bond bado haujalisapua unakuja kutusumbua hapa.
 
Kweli kahadithiwa, tena kahadithiwa na watu wanaodhani Mayele anachezea Gabon. Usikute uto hawajui hata mungu wao anatokea nchi gani.
Haaaaa! Ina maana mchizi muda wote huo anajua Mayele yulo Gabon?

Sometimes unaona Iddi Amin alikuwa sahihi
 
Ila uongo dhambii, inonga katetema bhanaa, kushinda wenginee wotee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wacongo wanatetema tyuuh huko, kiukweli bao ni zuri na la kiufundi, nimependa alivyochezesha miguu kumuhadaa beki wa Gabon, akafumua shutii kitu ndanii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mayelee km mayeleeee.
 
Maana kama alikuwa anajua Congo anaongoza halafu akaambiwa Mayele kafunga, inakuwaje adhani goli la Mayele ni la kusawazisha 🤣😂🤣
 
Ila uongo dhambii, inonga katetema bhanaa, kushinda wenginee wotee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wacongo wanatetema tyuuh huko, kiukweli bao ni zuri na la kiufundi, nimependa alivyochezesha miguu kumuhadaa beki wa Gabon, akafumua shutii kitu ndanii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mayelee km mayeleeee.
Inonga ndiyo itakuwa kampigia chapuo huyo Mayele kwa kocha ampe nafasi, bila hivyo mbao ndefu ingekuwa inamuhusu.
 
Back
Top Bottom