Ni biashara ya soccer, kawaida tu ili mradi club inufaike.
Kuna watu wamemuharibia sana Fei Toto, mpaka sasa thamani yake ingekuwa juu na timu ya Taifa angeendelea kung'ara.
Ona wachezaji wote Yanga waliofika fainali thamani zao zimepanda na hata National team zao wanachukuwa namba.