FT: Fountain Gate 0-2 Young Africans SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Stadium | 31/08/2026

Bora mwamuzi umebadilisha maamuzi ya kadi nyekundu. Hawachelewi kusema tumebebwa, na wakati viwiko havikubaliki kwenye mchezo wa mpira wa miguu.
 
Kwanini marefa wanafanya makosa memgi ya kuipendelea Yanga katika kila mechi? TAKUKURU mko wapi? Kwa mfano mechi ya leo fault nyepesi za FG zinatolewa kadi ila Faulo nzito za Yanga hazina hata onyo la mdomo. Yaani refa anafurahia. Tunaupeleka wapi mpira wetu kwa upendeleo huu.
 
Mpira unaendelea leo yanga wako hoi kidogo
 
Usilalamike sana
 
Yanga leo wamepoteana kidogo
 
Inatakiwa kubadilishwa mfumo. Ligi ya wanawake wachezeshe marefa wakike na hivyo hivyo ligi ya wanaume wachezeshe marefa wakiume basi
 
Nenda kasomee urefa ili uje uchezeshe wewe, badala ya kuishia kulalamika tu.
 
Ujanja ujanja huu huwa inaishia club bingwa hatua ya makundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…