Baada ya kuona kikosi, nilibadili maamuzi. Nipo naangalia mbashara.Usisahau mods huwa wanapoteza kale katufe ka 'live' hivyo kuangalia na kupata matokeo mubashara ni muhimu, usisuse kutazama Azam TV
Wasipofunguka?Geita wakifunguka wamekwisha.
Halafu zinashinda 😁Timu zote zikicheza na Yanga ya Gamondi zinapaki bus, zikiongozwa na Simba. Ihefu
Hahahaa kuna matumaini naona 😂Baada ya kuona kikosi, nilibadili maamuzi. Nipo naangalia mbashara.
Halafu mwishoni ikawaje na Simba?Timu zote zikicheza na Yanga ya Gamondi zinapaki bus, zikiongozwa na Simba. Ihefu watoe hapo[emoji23][emoji23]
Kwa maana ya pumzi?Kasi imepungua
Kwa maana ya pumzi?