Hata dalili hazipomzize vipi hajatupia tu?
Wakijitahidi sanaa ni draw.Taifa stars tuna kila sababu ya kushinda game ya leo dhidi ya Guinea.
TUMHESHIMISHE DR SAMIA
Comrade Ally Maftah
PACOME WA MCHONGO
Edwin Balua Yellow KadiDah 💔💔
Anazingua sio kdgBalua anazingua
😂😂😂Taifa stars tuna kila sababu ya kushinda game ya leo dhidi ya Guinea.
TUMHESHIMISHE DR SAMIA
Comrade Ally Maftah
PACOME WA MCHONGO
Umeona kama nilivyoona 🤣🤣Balua anacheza utafikiri mechi ya Umitashumta
Kocha amtoeBalua anazingua
Wanafanya mashambulizi?Leo stars wameimarika Sana tofauti na game ilopita
Bado mkuu, Kiungo hakuna kitu.Leo stars wameimarika Sana tofauti na game ilopita
Muda Bado atatupiaHata dalili hazipo