FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

Mabeki wana kazi kubwa sana..... kwenye timu yetu ya taifa
Yani wakina mzize wanapokea mpira kama wasenge
Kila beki atapata kadi ya njano
Shida mamii sio washambuliaji wetu tatizo hatuna kiungo wa kuwaunganisha kwa kutoa huduma ya pasi na ndio maana washambuliaji wanaonekana useless mipira haifiki mbele mabeki wetu wa pembeni wapandishi team
 
Back
Top Bottom