FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

Imefikia hatua watanzania tumezoea, lolote lile sawa tu maana hatuna timu yenye kutupatia uhakika wa ushindi
 
Nakazia kila la kheri Guinea
Acha Roho Mbaya wewe jamaa. 😀😀😀 Wakishinda "utasikia Tunamshukuru Mama kwa ushindi kwani bila yeye tusingekuwa kushinda"

Nami nipo Guinea. Piga hao Kizimkazi FC.
 
Dk 36 free kick inaishia kwa Ali Salim.

Sema huyu Kipa ana Mapepe aisee
 
Bado, Tumekosa goli.
Umekosekana Muunganiko
Mliokuwa goli ni nyie au sisi Guinea? Tumewashikisha Ukuta nyie watoto wa Mama Kizimkazi. Tunawapelekea moto, kipa wetu yupo likizo.

Second half tutatoa kipa na mabeki wetu. Tunataka tucheze nanyi pungufu
 
Back
Top Bottom