FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

Shida mamii sio washambuliaji wetu tatizo hatuna kiungo wa kuwaunganisha kwa kutoa huduma ya pasi na ndio maana washambuliaji wanaonekana useless mipira haifiki mbele mabeki wetu wa pembeni wapandishi team
Mtu anafika mpaka kwenye 18 hajui ampasie nani ila wakiwa Yanga na azam aah wanakimbiaga kama viberenge
 
Back
Top Bottom