FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

Screenshot_20240910-194816~2.png
Ndugu zetu wengine...
 
Hivi itatokea timu kutoka Africa itatwaa kombe la dunia? Mpira wetu ni wakawaida sana, yani viwango vya chini sana.
 
Jana nmeona Lesotho haikua na ujinga huu wao wakipata hatakama mpinzani nimzuri vipi wanapeleka mbele .
Wakipeleka mbele bila macho tutasema butua butua
Changamoto ni nyingi timu ya taifa.. nahisi inahitajika watu tofauti wapikwe wawe wanachezea timu ya taifa tu! Halafu hawa senior wawekwe mmoja mmoja
 
Wachezaji wanavyocheza kwenye clubs zao ni tofauti sana na wanavyocheza hapa.

Labda tatizo ni kocha sijui, ila inafikirisha sana. Mzize wa Yanga, Fei toto wa Azam ni watu tofauti kabisa.

Tusubiri muujiza
 
Back
Top Bottom