FT: Guinea 1-2 Taifa Stars | Kufuzu AFCON 2025 | Septemba 10, 2024| Charles Konan Banny Stadium

Wachezaji wanavyocheza kwenye clubs zao ni tofauti sana na wanavyocheza hapa.

Labda tatizo ni kocha sijui, ila inafikirisha sana. Mzize wa Yanga, Fei toto wa Azam ni watu tofauti kabisa.

Tusubiri muujiza
Shida wanazungukwa na wachezaji gani. Tazama yanga pale mbele, hata ukiwekwa wewe utatisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…