FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Bocco ni mtu wa kumuingiza dakika ya 80 wakati mmeshapata ushindi. Huo ndiyo ukweli. Hawezi hata kucontrol mpira, nguvu hana tena.
na yule kuingia ni ushauri kutoka kwa gadiora mnene.
 

Huyu mdudu ndo kagoma kwenda kuchekea chooni 🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…