FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Ili kuhakikisha kikosi kimekamilika kweli kweli, kikosi kilichoanza na Singida kianze, Phiri aanzie nje nafasi yake aanze Kyombo au Kibu (najua mtanirushia mawe) maana kipindi cha kwanza kiwe cha kuwasoma washkaji, kujilinda na kufanya mashambulizi ya kushtukiza na napendekeza Israel Mwenda aanza nafasi ya Mohammed Hussein.

Bocco asiingizwe hadi tumejihakikishia ushindi.
 
Taifa Kubwa..!!!
🫶[emoji2532]🫶[emoji2532]🫶[emoji2532][emoji109][emoji2532][emoji109][emoji2532]
 
Nimempa Horoya Ashinde na2+ nimeweka laki2 , Odd ya 3.20
 
Kama mleta mada alivyosema,the best defensive way is to attack.Sasa unaanza na Kibu ambaye hata kukaa na mpira hawezi unajitakia mema kweli?

Si kila ,mara wapinzani watabisha hodi golini kwenu maana mipira haitakaa mbele.Pili huyo mwenda ulishamuona akicheza 3 kwa ufanisi kweli?

Au unafanya majaribio kwenye mechi dume ?
 
Umeamua kujipa PhD zile za sampuli ya kina Msukuma na Taletale?

Dr Matola😂.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…