FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Kwahiyo unalipishia sio?
 
Mo atueleze sisi makolo zile Bil 20 ameziweka wapi mpaka tumeshindwa kufanya usajili wa maana
 
Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards/Mikia/Ngada mlishazoea kupigwa 1 la nguruwe lenye Watoto 12 wala hamjistukii [emoji2]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
NYokanyoka/vyura/kinyefc/kandambili/gongowazi/n.k n.k
Kesho mtakula hamsa...wanaume wanawapigaga Uto kuanzia bao 4 nakuendelea moja ni udhaifu.. 😎 πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Unakumbuka Raja 6 Yanga sufuri
 
NYokanyoka/vyura/kinyefc/kandambili/gongowazi/n.k n.k
Kesho mtakula hamsa...wanaume wanawapigaga Uto kuanzia bao 4 nakuendelea moja ni udhaifu.. 😎 [emoji38][emoji38][emoji38]
Unakumbuka Raja 6 Yanga sufuri
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…