FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Azam wameanza "samahani" zao mapema kabisa.

Kazi inataka kuwashinda hawa, kwa DSTv wanaonyesha channel gani?
 
Kwa nini CAF wanabana idadi ya mashabiki mpaka leo? Inaua vibe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…