Raphael Thedomiri
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 442
- 729
HahaView attachment 2513970
Rais wao ni Tall, huko ndio asili ya akina pogba, ndio maana vichezaji vya simba wanaviangalia kama vitoto vya shule za chekechea havina afya, hao wanakula fufu na samaki lazima wawe na afya