FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Ubeki wa Onyango ni ule wa kizamani sana, yani lile style ya kuondosha tu bila kujali umiliki wa mpira. Matokeo yake kila akiondoa anasababisha hatari nyingine.

Hakuna game hapa.
Siyo tu Onyango, kurudisha mpira kwa Manula 9/10 mpira unaenda kupotea maana yeye anapiga tu mbele. Robertinho alivyokwenda kwao Brazil, akarudi, Simba wanacheza mpira ule ule wa Mgunda ambao ni wa taratibu, back passes nyingi na kushindwa kupenetrate pale mbele. Huu ndiyo ulikuwa mpira wa Simba kabla ya Robertinho.
 
Horoya ni wepesi sana
IMG_20221204_195942.jpg
 
Back
Top Bottom