FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

FT|| Horoya AC 1-0 Simba SC | CAF Champions League | Stade General Lansana Conte | 11.02.2023

Screenshot_20230211-205804_Google.jpg
 
Mpira bahati, madusko kama haya yalimuangukia Kaizer Chiefs mpaka akajikuta fainali

Akaja naye Orlando naye akapita na upepo huo, huyu Horoya hatuwezi kumpa airtime kabisa
 
Tuliwaambia msihangaike na mechi ya Yanga ya kesho nanyinyi Leo mna mechi ona kilicho wakuta. Hongera Kwa Manura maana bila yeye mechi ingekua imeisha mapema.
Subiri matokeo ya mechi ya kesho
 
Back
Top Bottom