Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona angeingia mkude tu,hakukuwa na haja ya kuweka double strikers mechi hiiBocco akili inataka ila mwili unagoma kwenye baadhi ya matukio
Wanatangaza anaingia Fulani kumbe hata sub hayupo.Mimi mechi za CAF siwasikilizagi hawa watangazaji wa kibongo. Juzi kuna mtangazaji alikuwa hajui mchezaji aliye benchi hadi camera ilipomuonyesha. Yuko "kumbe fulani yuko benchi leo?"
Ni nano huyo?wenzenu huku hakuna umeme.Anabo mnooo yaan,
Huyu refa ndo badala ya Eli Sasii?Huyu refa hajui kipa akiwa challenged kama hivi ni faulo. Mechi ya juzi ya Yanga alifanya hivi hivi.
Tulia mtani,mechi yenu kesho[emoji2]Ndiyo kusema mwamuzi analazimisha faulo ili malengo yatimie? Au bahasha zinatoka upande mmoja tu!!
Juzi nilishangaa sana. Nikasema yaani hata mimi nawazidi maana mimi kabla mechi haijaanza naangalia nani wako benchi. Sasa hawa ndiyo utegemee wawe na taarifa muhimu za timu au wachezaji?Wanatangaza anaingia Fulani kumbe hata sub hayupo.
HawafungwiYoyote atakae shinda leo fresh. Ikiwezekana wafungwe hao waliotoka Dar.
Naona wachezaji wenu wanapigana vichwa hapa! 😃Tulia mtani,mechi yenu kesho[emoji2]
Naskia bocco kataka kuua mwenzie huko[emoji3][emoji3][emoji3]77' Bocco anamchezea rafu mchezaji mwenzake ambaye Nassoro Kapama[emoji38][emoji38] ama kweli John Bocco is a living legend