FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

FT: Ihefu FC 0-2 Simba Sc | NBC Premier League | Highland Estates Stadium | 10.04.2023

Hivi Beki unaruhusu vipi kirahisi krosi ipigwe kuelekea langoni kwako? Hawa back style ya leo kichefuchefu sana.
 
Ndiyo kusema mwamuzi analazimisha faulo ili malengo yatimie? Au!!!
 
Hii timu ilivyo mbovu tar 16 tukiwapiga 2 nitasikitika sana
 
Wanatangaza anaingia Fulani kumbe hata sub hayupo.
Juzi nilishangaa sana. Nikasema yaani hata mimi nawazidi maana mimi kabla mechi haijaanza naangalia nani wako benchi. Sasa hawa ndiyo utegemee wawe na taarifa muhimu za timu au wachezaji?
 
Sioni anachofanya KAPAMA..
SAKHO aweza kupumzika
 
Back
Top Bottom