FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

Hata mimi mpira ukichezwa dakika 100 sikukosi
Kushindwa tu kufikia hatua ni moja ya sababu ya kuonekana uwezo hauna. Umeshindwa kuifunga timu iliyokuwa pungufu tokea kipindi cha kwanza. Nyie si ndio hamjui kitu kabisa
 

Kwanini iwe mpaka Dk ya 60 ndo itangazwe,

Kanuni huwa zipo tayari Kabla Mashindano hayajaanza....

Ilikuwa ni Lzm Utopolo washinde!
 
Halafu hicho kibabu kinazingua.

Game zote ambazo anaelemewa amekuwa ni mtu wa fujo.

Atulie tu
Huyu siku akipigwa mfululizo inaonekana ni mtu wa kupanic ni vile amekuwa na msimu mzuri hivyo upande wake wa pili wa shilingi hajapata nafasi ya kuuonyesha.
 
Hawa IHEFU wangecheza msimu mzima kama walivyocheza Leo, basi wangekuwa nafasi ya pili, Azam tatu na Simba nne.
Leo wamekaza mwanzo mwisho. Hata goli walilofungwa ni kutokana tu na ukubwa wa wachezaji wa Yanga.
 
Kwanini iwe mpaka Dk ya 60 ndo itangazwe,

Kanuni huwa zipo tayari Kabla Mashindano hayajaanza....

Ilikuwa ni Lzm Utopolo washinde!
Kwani izo dak za nyingeza wanacheza akina nani ? si hao hao waendelee kukamiana acha kelele zisizokua na maan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…