Abeid L Msanganzila
Senior Member
- Dec 30, 2018
- 163
- 343
We huzielewi hizi kanuni za kombe hili. Miaka yote ipo hivo ndiyo maana match,zinaanza kuchezwa saa tisa na nusu coz wangeanza saa kumi kamili game ikiisha dak 90 draw zikiongezwa dak 30 nazo zikaisha kwa draw basi matuta yanaweza kupigwa gizan maana viwanja hivyo havina taa!Kwanini iwe mpaka Dk ya 60 ndo itangazwe,
Kanuni huwa zipo tayari Kabla Mashindano hayajaanza....
Ilikuwa ni Lzm Utopolo washinde!
Mtafutaji halali njaa, anachelewa tu kulaLeo wamekaza mwanzo mwisho. Hata goli walilofungwa ni kutokana tu na ukubwa wa wachezaji wa Yanga.
Unampangia mtangazaji muda wa nini cha kusema?Kwanini iwe mpaka Dk ya 60 ndo itangazwe,
Kanuni huwa zipo tayari Kabla Mashindano hayajaanza....
Ilikuwa ni Lzm Utopolo washinde!
Mbeleko kwa kiswahili chetu cha zamani ni sherehe. Kama ndivyo unamaanisha uko sahihi tunaenda kwa mbelekoKama Kawa Kwa mbeleko..!
Kwahiyo unataka kusema jana Azam kacheza na Coastal union pasipo kujua sheria inasemaje hatua ya nusu fainali endapo ikitokea wametoka sare?Kwanini iwe mpaka Dk ya 60 ndo itangazwe,
Kanuni huwa zipo tayari Kabla Mashindano hayajaanza....
Ilikuwa ni Lzm Utopolo washinde!
Farid outMwamnyeto in
120Mh huu mpira unachezwa dakika ngapi kwani waga!
we jamaa inaonekana ni mbaba alafu akili za lasaba B ππKwanini iwe mpaka Dk ya 60 ndo itangazwe,
Kanuni huwa zipo tayari Kabla Mashindano hayajaanza....
Ilikuwa ni Lzm Utopolo washinde!
ππ dah!viwanja vyetu vya bongo vina shida, mameneja wa hivi viwanja inabidi wajifunze kutokana na makosaWe huzielewi hizi kanuni za kombe hili. Miaka yote ipo hivo ndiyo maana match,zinaanza kuchezwa saa tisa na nusu coz wangeanza saa kumi kamili game ikiisha dak 90 draw zikiongezwa dak 30 nazo zikaisha kwa draw basi matuta yanaweza kupigwa gizan maana viwanja hivyo havina taa!