FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

Nenda kadili na makolo wenzio wewe 😂
Usichanganywe na comment za humu. Wengine tunafuatilia mechi si kwa kuwa tuna ushabiki wa kulia lia kivile, bali ni wazee wa mikeka. Mfano hapo mimi niliweka under 1.5, kwa hiyo ukiona nachungulia na kutoka, ujue naangalia hela yangu mzee, kiroho kinadunda huku! Naona inakaribia kutiki, cha msingi lisiingie zaidi ya goli moja, hata hilo moja likiwa ni la Yanga mimi sijali, nipo kimaslahi zaidi, nimebana huku goli zisiingie nipate ya dinner
 
Naaaaam dakika 90 zimekamilika tusubiri 30 za nyongeza
 
Back
Top Bottom