FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

Moderator Active Cookie badirisha heading haiitwi Ihefu imebadirika Jina inaitwa Singida Black Stars chini ya Tajiri mifedha Mwigulu Nchemba ndio Mmiliki halali wa Singida Black Stars

Mhariri badirisha heading hapo weka Singida Black Stars Mwigulu akipita akaona hivyo atawa-mind Ihefu haipo tena

Soma

Soma pia
 
Tutafanyaje na ndio timu yetu,iache ituue..
Kupata point kwenye hizi mechi mbili zilizo ongozana, siyo kazi nyepesi hata kidogo! Ukichanganya na fatique ya wachezaji wenu! Aisee kazi mnayo.
 
Moderator Active Cookie badirisha heading haiitwi Ihefu imebadirika Jina inaitwa Singida Black Stars chini ya Tajiri mifedha Mwigulu Nchemba ndio Mmiliki halali wa Singida Black Stars

Mhariri badirisha heading hapo weka Singida Black Stars Mwigulu akipita akaona hivyo atawa-mind Ihefu haipo tena

Soma

Soma pia
Huu ni ukurasa rasmi wa Singida black stars umeona hapo wakiiweka jina na nembo ya hiyo Singida black stars? Kama wao wenyewe wameiweka Ihefu, kwanini wewe unalazimisha isiwepo Ihefu? Inawezekana mchakato wa ubadilishaji wa jina haukukamilika hadi sasa.
IMG_20240413_110859.jpg
 
Huu ni ukurasa rasmi wa Singida black stars umeona hapo wakiiweka jina na nembo ya hiyo Singida black stars? Kama wao wenyewe wameiweka Ihefu, kwanini wewe unalazimisha isiwepo Ihefu? Inawezekana mchakato wa ubadilishaji wa jina haukukamilika hadi sasa. View attachment 2962114
Huyo Graphic designer wao kimeo mnamuita Admin kanjanja Ila Ihefu haipo IPO Singida Black Stars Ihefu ishafutwa
 
Kutolewa robo kulinifurahisha. Kufirumushwa FA na mashujaa kulinifurahisha zaidi. Leo napenda tushinde ili kupunguza kelele kuelekea tar 20. Then tar 20 naombea mtani atupige walau goli moja tu. Unaijua kwanini?
Baada hapo mashabiki watasusa kwenda viwanjani, Naamini akili za viongozi wa Simba zitaamka na watakuwa makini kwenye kufanya maboresho ya timu.
Simba ni janga
 
Ihefu SC VS Simba SC | NBC League | CCM Liti Stadium, Singida | Aprili 12, 2024
 
Ihefu sc vs Simba sc saa 10:00 jioni CCM Liti stadium NBC premier league
Leo wanasingida watakuwa wanashudia mtanange mkali baina ya mwenyeji ihefu vs simba sc, wakiendelea kusaka pointi muhimu za kuamua nani bingwa msimu huu.

Tukutane hapa kwa update
Kocha kaanza vizuri.

Tuko serious sana na hii game
 
View attachment 2962316
All the Best Chama Kubwa!!
Kwa kikosi hiki tukifungwa hakuna haja ya kufanya hamasa 20th April.

Kocha awe mwepesei kufanya mabadiliko.

Natamani Freddy na Jobe wabadilishane nusu kwa nusu.

Babakar hayupo kikosini kabisa. Anaumwa?

au ndio plan ya 20th April?
 
Back
Top Bottom