FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

Moderator Active Cookie badirisha heading haiitwi Ihefu imebadirika Jina inaitwa Singida Black Stars chini ya Tajiri mifedha Mwigulu Nchemba ndio Mmiliki halali wa Singida Black Stars...
Bado kwenye platform za michezo inaitwa Ihefu.

Hakuna shida, icheze kama Ihefu ili tuipasue vizuri
 
Kutolewa robo kulinifurahisha. Kufirumushwa FA na mashujaa kulinifurahisha zaidi. Leo napenda tushinde ili kupunguza kelele kuelekea tar 20. Then tar 20 naombea mtani atupige walau goli moja tu. Unaijua kwanini?
Baada hapo mashabiki watasusa kwenda viwanjani, Naamini akili za viongozi wa Simba zitaamka na watakuwa makini kwenye kufanya maboresho ya timu.
Tutawashangaza watu hata hiyo April 20
 
No matter whaaat........
Screenshot_20240412-162259_Instagram.jpg
 
Mimi ni Simbaaaaa...
Kila la heri mnyama
Na leo tena yaleyale ya Mashujaa kipigo kuna Jamaa alikua anamsema mtu eti mmegongwa nyumbani mmegongwa ugenini mmerudi nyumbani tena mmegongwa yaan nyinyi ni wa kugongwa gongwa tu
 
Kuna tatizo kubwa pale Simba hivyo yanga wanaweza kucheza na mechi zetu kirahisi sana.Hakuna udhibiti wa wachezaji,hivyo mnavyoona hawajitumi,inaweza kuwa tayari mdudu kaingia kwa wachezaji.
Na hatari ni mechi ya tarehe 20.
Kuna historia inaenda kutengenezwa na Yanga.
Kitu kinachoudhi,yanga anateseka kuzifunga timu ndogo hata zinazokaribia kushuka daraja,lakini akicheza na simba ni kama anacheza na timu ya daraja la nne.Anajipangia tu afunge goli ngapi

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Unaijua mechi ya Watani wewe........?........
 
Kwa kikosi hiki tukifungwa hakuna haja ya kufanya hamasa 20th April.

Kocha awe mwepesei kufanya mabadiliko.

Natamani Freddy na Jobe wabadilishane nusu kwa nusu.

Babakar hayupo kikosini kabisa. Anaumwa?

au ndio plan ya 20th April?
Twende tuu tutafika...
 
Back
Top Bottom