Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Mnaenda kupigwa na Mvua leo hamtoaminiItieni ndimu ichangamke...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaenda kupigwa na Mvua leo hamtoaminiItieni ndimu ichangamke...
Ww shida yako nini ww utopolo?? Naona umetokwa mishipa ya uso kukomalia kupigwa..hahhaha umeshakula lakini..Chachandu IPI mnaenda kupigwa na Mvua
Sio shida zenuMnaenda kupigwa na Mvua leo hamtoamini
Ubuntu bothoooUko Singinda? au unapima msisimko ukiwa chumbani
Haha 😂 usiulize Kula wewe ndio tukuulize umekula usije ukalala na njaaWw shida yako nini ww utopolo?? Naona umetokwa mishipa ya uso kukomalia kupigwa..hahhaha umeshakula lakini..
Ni shida za KolowizardSio shida zenu
Mm nimeshapiga wali maharage hapa nacheua tuu nasubiria Simba imchape mtu nishushie na peps baridiii....Haha 😂 usiulize Kula wewe ndio tumuulize umekula usije ukalala na njaa
So kaa kwa kutulia UtowizardNi shida za Kolowizard
Sawa Mwakarobo junior..... 😀 😀Wewe Mwakarobo tulia mnagongwa tena leo
Wewe Mwakarobo tulia leo unyolewe tena hicho kipara chakoSawa Mwakarobo junior..... 😀 😀
Unasubiria Simba agongwe ucheue na kutapika wali Maharage?Mm nimeshapiga wali maharage hapa nacheua tuu nasubiria Simba imchape mtu nishushie na peps baridiii....
Kolowizard utulie leo mnapigwa kipara kipyaSo kaa kwa kutulia Utowizard
Mechi inaenda kuanza hivi punde andaa kipara hichoTutaonana baada ya mechi...
Siku 6 tu zijazo wawe makini wasiumie maana Manula majeruhi kule tunataka timu kamili bila visingiziojipimeni kabla ya tar 20 mjue kabisa mnalala na mchupi gani...
shuleni umesomea ujinga?Unasubiria Simba agongwe ucheue na kutapika wali Maharage?
Yani unawashwa kuliko kuwashwa kwenyewe...Kolowizard utulie leo mnapigwa kipara kipya
Kipigo kipigo kipigo ogooopa leo tena mnatakatishwa na Ihefushuleni umesomea ujinga?
Yani unawashwa kuliko kuwashwa kwenyewe...