FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

Hadi tbc taifa wameacha kutangza mechi ya Simba Sasa wanatangaza ya tabora
 
Sasa ushasema hamna kikosi kizuri Yanga mnaanza kuifunga kuanzia wapi na mkosi wenu mbovu? Kalpana Kolowizard umemsikia mwenzio huku
Oohh kwahiyo ihefu walipowafunga walikuwa na kikosi kizuri, sisi target yetu ni kimataifa hatutaki kikosi cha kuishia robo kila mwaka ninyi naona msharidhika na kikosi chenu bora, imagine yanga pamoja na kuwa na kikosi bora lakini mmeishia robo kama sisi wenye kikosi kibovu
 
Ihefu wanadharau sana.

Leo Tutawashangaza.
 
Mheshimiwa baada ya kununua hii timu angeiita "MBOJO" ingepata umaarufu mkubwa Singida kuliko timu mbili kuwa na majina yanayofanana
 
Oohh kwahiyo ihefu walipowafunga walikuwa na kikosi kizuri, sisi target yetu ni kimataifa hatutaki kikosi cha kuishia robo kila mwaka ninyi naona msharidhika na kikosi chenu bora, imagine yanga pamoja na kuwa na kikosi bora lakini mmeishia robo kama sisi wenye kikosi kibovu
Wewe Mwakarobo tulia kimataifa ya wapi mnapigwa na Mashujaa
 
Back
Top Bottom