FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

Mimi naombea tumfunge yanga tu ili kelele zipungue, lakini hizi mechi nyingine zote zilizobaki tufungwe na ubingwa tusichukue, ili viongozi wasijisahau kwamba hatuna kikosi kizuri kwa sasa
 
Sasa ushasema hamna kikosi kizuri Yanga mnaanza kuifunga kuanzia wapi na mkosi wenu mbovu? Kalpana Kolowizard umemsikia mwenzio huku
 
Mimi naombea tumfunge yanga tu ili kelele zipungue, lakini hizi mechi nyingine zote zilizobaki tufungwe na ubingwa tusichukue, ili viongozi wasijisahau kwamba hatuna kikosi kizuri kwa sasa
Haya maombi ni batili bana kaendelee tu na shughuli zako
 
Ihefu wanavyowagalagaza simba utafikiri wanacheza na Majimaji fc
 
Hawa jamaa wanajiamini sana, ila kitakachowapata hawataamini
 
Back
Top Bottom