FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

Goaaaaaaaaalllll amekosaaaa....
Zimbwe Junior
 
Huyu Kevin Nashon anafaa kuja Yanga asaidiane na Aucho. Dogo ni mchezaji mzuri sana
 
Chumaaaaaaaaa.....
Miquisonne...
njeeee...
amekosaa aiseee
 
IHEFU mlikuwa mnawasifia kuwakamia Yanga, aya leo kuleni chuma hiko.
 
Haihitaji unabii kujua Simba itakuja kupasuka vipande vipande mwishoni mwa msimu, na mbaya zaidi ikishapasuka hawatajiunga wawe bora ila watazidi kuwa wabovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…