FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

Goaaaaaaaaalllll amekosaaaa....
Zimbwe Junior
 
Chumaaaaaaaaa.....
Miquisonne...
njeeee...
amekosaa aiseee
 
IHEFU mlikuwa mnawasifia kuwakamia Yanga, aya leo kuleni chuma hiko.
 
Haihitaji unabii kujua Simba itakuja kupasuka vipande vipande mwishoni mwa msimu, na mbaya zaidi ikishapasuka hawatajiunga wawe bora ila watazidi kuwa wabovu.
 
Back
Top Bottom