FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

Ili Simba iepuke mkono tarehe 20 inahitaji wawe na nyota wengine 5 kuanza kikosi cha kwanza.
 
Walipakwa mawese kigoma
Wameponea kupakwa alizeti Leo
Tarehe 20 tutawapaka parachute
 
YANGA Bingwa hii haina ubishi tena... Yanga wamekosa mpinzani Tanzania
 
Wanamsimbazi Tunawakaribisha Benjamin Mkapa Mje Kulipa Kisasi Tar 20.

Maana Game Ya Mwisho Mlikuwa Nyumbani Mkala 5 Sasa Ni Wakati Wenu Kuja Kulipa Kisasi.

Karibu Sana Wanamsimbazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…