FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

Mbona husemi msimu huu nyie wabovu na Yanga yupo moto na mkala goli tano round ya kwanza?
 
Akipewa wachezaji wa maana ataweza.
 
Majukumu yanasingiziwa tu hapa.....

Friends of Ihefu, tunawatakia kila laheri, simba apakwe tu alizeti wakati akingoja tarehe 20 hiyo kupakwa parachute
Una roho mbaya wewe 😆😆 tarehe 20 inabidi wale Kono tena
 
Ngoma yule mlie mteka airport?
 
Kwenye hiyo game ka Ali Kamwe kalipata msongo wa mawazo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…