FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

Moderator Active Cookie badirisha heading haiitwi Ihefu imebadirika Jina inaitwa Singida Black Stars chini ya Tajiri mifedha Mwigulu Nchemba ndio Mmiliki halali wa Singida Black Stars

Mhariri badirisha heading hapo weka Singida Black Stars Mwigulu akipita akaona hivyo atawa-mind Ihefu haipo tena

Soma

Soma pia
 
Tutafanyaje na ndio timu yetu,iache ituue..
Kupata point kwenye hizi mechi mbili zilizo ongozana, siyo kazi nyepesi hata kidogo! Ukichanganya na fatique ya wachezaji wenu! Aisee kazi mnayo.
 
Huu ni ukurasa rasmi wa Singida black stars umeona hapo wakiiweka jina na nembo ya hiyo Singida black stars? Kama wao wenyewe wameiweka Ihefu, kwanini wewe unalazimisha isiwepo Ihefu? Inawezekana mchakato wa ubadilishaji wa jina haukukamilika hadi sasa.
 
Huyo Graphic designer wao kimeo mnamuita Admin kanjanja Ila Ihefu haipo IPO Singida Black Stars Ihefu ishafutwa
 
Simba ni janga
 
Ihefu SC VS Simba SC | NBC League | CCM Liti Stadium, Singida | Aprili 12, 2024
 
Kocha kaanza vizuri.

Tuko serious sana na hii game
 
View attachment 2962316
All the Best Chama Kubwa!!
Kwa kikosi hiki tukifungwa hakuna haja ya kufanya hamasa 20th April.

Kocha awe mwepesei kufanya mabadiliko.

Natamani Freddy na Jobe wabadilishane nusu kwa nusu.

Babakar hayupo kikosini kabisa. Anaumwa?

au ndio plan ya 20th April?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…